Ũ

Teachers' Junction Teachers' Junction Author
Title: TIMU YA WATU WA MAUZO/SALES TEAM
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
HEAD OFFICE:   TEACHERS’ JUNCTION, MAGOMENI MAPIPA, DOSI STREET, HOUSE NO 1. NEAR BY MAGOMENI MAPIPA POLICE POST, ...







HEAD OFFICE:
  TEACHERS’ JUNCTION, MAGOMENI MAPIPA, DOSI STREET, HOUSE NO 1.
NEAR BY MAGOMENI MAPIPA POLICE POST, DAR ES SALAAM, TANZANIA
PHONE +255(0)713-810857   +255(0)783-810857    +255(0)753-810857
WEBSITE : www.teacherjunction.blogspot.com
E-MAIL : teachersjunction@hotmail.com
FBPAGE : www.facebook.com/teachersjunction

                                      TIMU YA MAUZO/SALES TEAM
Hallow Tanzania.
  Tunashukuru kwa Ushirikiano wenu mlioanza kutupatia toka 2013  hadi sasa, ni imani yetu kwamba tutafika mbali kwa ushirikiano wetu huku tukimuweka MUNGU kwanza.

VIJANA WA TIMU YA MAUZO (sales Team) Dar es salaam  na Morogoro

·         Sifa za muombaji:-

                                    I.            Elimu kuazia kidato cha sita hadi chuo
                                  II.            Kwa mkazi wa Dar es slaam awe tayari kusafiri
                                 III.            Awe na uwezo wa kujieleza
                                IV.            Kingereza cha kuongea na kuandika
                                  V.            Awe ana uwezo wa kushawishi
                                 VI.            Awe Mtanzania halisi.

·         Majukumu/Kazi
                                   I             Kutembelea shule binafsi
                                 II            Kusismamia na kuitangaza Teachers’ Junction
                               III            Kutangaza hukuma zetu

·         Malipo/Mshahara.
1.       Kwa Kamisheni/Commission Base
2.       Kwa Mshahara/Salary Base

 Sales atachagua moja kati ya njia hizo ama kulipwa kwa salary au Commission.
               
Interview kwa Dar es slaam zitafanyika kuanzia  15/02/2016 hadi 18th/02/2016.
             Magomeni Mapipa Dar es salaam

Interview kwa Morogoro zitafanyika kuazia   19/02/2016 hadi 21/02/2016.
      Green City Secondary Kihonda Mkundi Morogoro.

Mafunzo kwa ajili ya kazi yatatolewa bureeeeee

·         Unatupataje?
                            I            Dar es salaam
    Tuletee cv na nakala za vyeti vyako
    Magomeni Mapipa mtaa wa dosi karibu kituo kidogo cha police mapipa.
    (Teachers’ Junction)

                          II            Morogoro.
  Tuletee Cv zako na nakala za vyeti vyako
   Green City Secondary School
    Kihonda – Mkundi
   Teachers Junction –Morogoro
  Uliza Madam Habiba

Kwa MAELEZO ZAIDI TUPIGIE AU TUMA BARUA PEPE  KWA NAMBA/ANUANI  HAPO JUU.


About Author

Advertisement

Post a Comment

MOST READ

 
Top