Ũ

Teachers' Junction Teachers' Junction Author
Title:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
TEACHERS’ JUNCTION (Teachers’ Networking Centre) Habari watanzania na ulimwengu kwa ujumla. Tumekuwa kimnya kidogo kutokana na kimnya cha ...
TEACHERS’ JUNCTION (Teachers’ Networking Centre)
Habari watanzania na ulimwengu kwa ujumla.
Tumekuwa kimnya kidogo kutokana na kimnya cha mitihani ya wadogo zetu wa darasa la saba .
Tukiwa bado tunaendelea kurahisisha ajira kwa sekta hii ya elimu huku tukiamaini uwezo wa mungu ndo unaotungoza kuyafanya haya:-                                                         kama ndo kwanza unatujua sisi tunafanya yafuatayo:_
Kutafuta walimu  kutoka (college,University,Street  na walioko makazini)
Kuwasajili
Kuwafanyia Interview
Kuwapa training:-
o Lesson planning
o Class management
o Class control
o Class methodologies
o Black board management
o Presentation
o Learners behaviors
o Participatory methods
Interview Guide
Tips kuhusu aina ya interview wanayoenda kufanya.
Mshahara,Shule,umbali na kile wanatoa.
Kukupeka kufanya interview.
Ile post ya walimu wa science tulifanikiwa kuwapata hivyo haipo kwa sasa,ile ya history centennial alifanikiwa mwalimu juzi,lakini ingawa tuko kwenye likizo fupi kwa baadhi ya shule kama ifuatavyo.
Now we are in need of the following Teachers:-
Who can teach English and Science
Salary range not less than 480,000/=Tsh
Is  primary/English medium/international School
Meal and Transport
At least one year experience
Location is Magomeni and Tegeta Dar es salaam.

Who can teach Social Studies (History, Geography and Civics)
Salary range not less than 500,000/=Tsh
Is  primary/English medium/international School
Meal and Transport
At least one year experience
Location is Magomeni mapipa,Tegeta and Mbweni.

Thanks God, our teachers who attended an interview at Centennial Christian Seminary, Philadelphia and Al-Hassani Mwinyi God did for them and for us.        
 It’s your time now for.
(“If you believe, you will receive whatever you ask for in prayer.” (Matthew 21:22))

  ( O you who have believed, shall I guide you to a transaction that will save you  from a painful punishment) Quran (Surat As-Saf [61:7-13] )

Teachers’ Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857

Mbeya Branch:
Near by Mzumbe University.
Phone: +255655-586906

Morogoro Branch:
+255783-810857 (soon)

Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Pia unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate updates zetu zoote
(Hakika kwake tunaamini maana anaona,kutenda na kufahamu yale tusiyoweza)
“Teachers’ junction JOB IN REALITY”
(Education's purpose is to replace an empty mind with an open one)

About Author

Advertisement

Post a Comment

MOST READ

 
Top