WALIMU WA HISTORY AND ENGLISH
Habari watanzania na Afrika kwa ujumla,
Tunawashukuru kwa
Ushikiriano wenu hadi hapa tulipofikia.
Kwa sasa
tunamahitaji ya walimu wafuatao:
1.
HISTORY
·
Awe Diploma au Graduate
·
Awe Mwalimu by Professional
·
Awe mkristo na sio Msabatho
·
Awe tayari kufanya kazi shule ya seminary
·
Awe na uzoefu at least one year
·
Awe History na somo lingine lolote
·
Mshahara not less than 650,000/=
·
Shule iko wilaya ya Temeke Dar es salaam
·
Chakula cha asubuhi na mchana
2.
ENGLISH.
·
Awe certificate au Diploma
·
Awe mwalimu by Professional Diploma/Degree au form six/Diploma/degree nyingine
ila awe na uwezo wa kufundisha English
(HKL,HGL)
·
Awe na uwezo wa kufundisha primary /English medium International School
·
Awe mkristo
·
Awe amewahi kufundisha English medium au anaamin
anaweza
·
Mshahara not less than 500,000/=
·
Chakula asubuhi na Mchana
·
Shule iko Temeke.
Teachers’ Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Morogoro Branch:
+255783-810857 (soon)
Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Pia
unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate
updates zetu zoote.
(Education
is a better safeguard of liberty than a standing army.)
“Teachers’
junction JOB IN REALITY”
Post a Comment