Ũ

Teachers' Junction Teachers' Junction Author
Title:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
                                     LESSON UPDATES PROGRAM Teachers’ Junction (teachers’ Networking Centre) inayojihusisha na kutengenez...
                                     LESSON UPDATES PROGRAM

Teachers’ Junction (teachers’ Networking Centre) inayojihusisha na kutengeneza network (makutanisho) kati ya muajiri na muajiriwa kwa sekta binafsi ya elimu hapa nchini Tanzania yenye makao makuu yake magomeni mapipa Dar ee s salaam.

Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii muhimu kwa sasa tumeanzia program ya kumfanya mwalimu wa kitanzania popote alipo nchini Tanzania kuweza kuwa mwalimu wa kisasa haijalishi alimaliza chuo muda mwaka gani na anaishi wapi.
Program itakuwa inaangalia kwa mambo yafuatayo:-
1) Kujadili namna kuandaa somo
Kwa mfumo wa zamani
Kwa mfumo wa sasa
Sababu za kubadilika

2) Kujadili namna ya kuandaa shajala la somo.
Kwa mfumo wa zamani
Kwa mfumo wa sasa
sababu za kubadilika

3) Kujadili nukuu za somo
Kwa mfumo wa zamani
Kwa mfumo wa sasa
sababu za kubadilika

4) Kujadili matuminzi sahihi ya ubao wakati wa ufundishaji.
Namna ya kugawa ubao
Namna ya ya kuandika tarehe
Namna ya kuandika:-
a. Mada kuu
b. Mada ndogo
c. Maelekezo
d. Kundaa maswali

5) Kujadili aina mbali mbali za interview
6) Namna ya kujibu maswali ya interview za education
7) Mavali,mikao na lugha ya mwili wakati wa interview za education
8) Namna ya kufanya kuweza kujiamini

Program hii itakuwa ikiendeshwa na Teachers’ Junction kwa mujibu ya wizara ya elimu nchini Tanzania kwa ushirikiano mkubwa wa walimu na wadau wa elimu nchini.

Program hii pia inatoa nafasi kwa mtu mmoja mmoja au kikundi kama shule,chuo,semina  wenye uhitaji wa huduma hii iwe mkoani au hapa ndani ya Dar es salaam.

Program hii itakuwa ikiendeshwa mara moja au mbili kwa wiki.

Kupitia account yetu ya facebook,jamiiforum,twitter na blog.
Facebook   page :    www.facebook.com/teachersjunction
Twitter       :  www.twitter.com/teacherjunction
Blog           : www.teacherjunction.blogspot.com
Instagram  : www.instagram.com/teachersjunction
E-mail         : teachersjunction@hotmail.com
Jamii forum: tutafute kama teachers junction

Kwa mtu mmoja au kikundi unaweza kuuliza swali au chochote ndani ya elimu nasi tutakusaidia.

Program hii itaanza rasmi katakati ya mwezi wa kumi au mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja.

Kujiunga:
Unatakiwa ku-like facebook page yetu www.facebook.com/teachersjunction  na kumualika (add)kila unaependa awe mwalimu wa kisasa popote alipo duniani ili aweze kushiriki jitahidi ku-add marafiki,ndugu na jamaa wengi zaidi.

Nb:
If you’re not a teacher and not interested this program is none of your business.
It’s very serious program with serious people.
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu tembelea   www.teacherjunction.blogspot.com
Au tupigie +255-753810857 au +255-783-810857
         Teachers’ junction the strength of education.

About Author

Advertisement

Post a Comment

MOST READ

 
Top