TAMKO LA TEACHERS’ JUNCTION KUHUSU TAWI LA MBEYA.
Uongozi wa Teachers Junction mwenye makao makuu yake Magomeni Mapipa jijini Dar es salaam.
Tunaomba radhi kwa uongozi wa Teachers’ Junction jijini mbeya kwa kushidwa kuendesha kituo hicho ipasavyo hivyo kuanzia leo tarehe 09th/10/2014 uongozi wa kituo hicho ulioko mbeya NEW FOREST MAGROFANI OPPOSITE MZUMBE UNIVERSITY hauruhusiwi kufanya shughuli zozote za Teachers’ Junction mpaka hapo itakapotangazwa upya, hivyo biashara yoyote itakayofanyika kuanzia leo chini ya Uongozi wa Mbeya haitatambuliwa na Teachers’ Junction Makao Makuu.
Hivyo walimu walio sajiliwa kwa kituo cha mbeya tutawataatifu hatua za kufuata ili kufanikisha malengo yalotarajiwa,hata hivyo kama ikifika tarehe tarehe 20/10/2014 mwalimu ambaya alisajiliwa mbeya na hajapigiwa simu tunaomba atupigie kwa namba ya hapo chini nasi tunaahidi kumpatia ushirirkiano akiwa na registration Number yake inayotambulisha usajili wake.
Kwa yoyote mwenye malalamiko binafsi tunaomba ututaarifu kwa simu au kwa email yetu.
Nb
Uongozi wa Teachers’ Junction unatangaza nafasi kwa mtu/watu wenye uwezo wa kusimamia na kuendesha kituo hicho kilichopo jijini mbeya anaweza kuwasiliana nasi.
Ahsante kwa ushirikiano wenu na mungu awaongoze.
Teachers’ Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Morogoro Branch:
+255783-810857 (soon)
Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Pia unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate updates zetu zoote.
(Education is a better safeguard of liberty than a standing army.)
“Teachers’ junction JOB IN REALITY”
Title:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
TAMKO LA TEACHERS’ JUNCTION KUHUSU TAWI LA MBEYA. Uongozi wa Teachers Junction mwenye makao makuu yake Magomeni Ma...
Post a Comment