Ũ

Teachers' Junction Teachers' Junction Author
Title:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
Morning. Bado tunahitajio la walimu wa masomo ya physics,chemistry,biology na mathematics kwa olevel na advanced. Kwa shule za mbezi kima...
Morning.
Bado tunahitajio la walimu wa masomo ya physics,chemistry,biology na mathematics kwa olevel na advanced.
Kwa shule za mbezi kimara,mbagala,kongowe na bwagamoyo.
Kipaumbele kwa mwalimu kwa taaluma au awe na uzoefu wa muda mrefu.
Pia social studies (Geography, History na Civics) na kiswahili kwa shule ya kawe,mbezi kwa msuguli na tabata barakuda,
Kama unawezafanya ama unamjua anaweza Tafadhali mfikishie ujumbe.

Contact us:
0753-810857, 0783-810857
teachersjunction@hot mail.com
WWW.teacherjunction.blogspot.com

Thanks:
"Teachers' Junction Jobs in Reality"

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. mwisho wa maombi ni tarehe ngapi? mimi naweza kufundisha KISWAHILI utaratibu wa kuomba uko vipi?
    Na nimemaliza masomo kwa ngazi ya shahada ya kwanza ya ualimu katika chuo kikuu cha Taifa Cha Zanzibar SUZA mwaka 2015/2016

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

MOST READ

 
Top