Tumeanza rasmi kudeliver walimu kwa ajili ya post za kuanzia mwezi November 2014 to January 2015.
Hivyo walimu wote waliofanya registration kwetu kwa masomo:-
1.Biology Diploma and Degree
2.Physics Diploma and Degree
3.Chemistry Diploma and Degree
4.Mathematics Diploma and Degree
5.Kingereza zote structure name literature
Sifa:
1 Awe hajawahi kufanya kwa wakorea kwa upande Degree and Diploma.
2.Awe hajawahi kufanya Tabata barakuda,tegeta afrikana,au mbezi kibanda cha mkaa.
Eneo la post/kazi;
1.Chalinze pwani
2.kongowe mbagala
3.Bagamoyo shule mbili tofouti
4.Mbezi kwa msuguli
5.Mbezi kibanda cha mkaa
6.Tabata barakuda.
Tutaanza jumaatano kuelekea kongowe mbagala kisha wale watakaokosa nafasi tunaenda Bagamoyo na wengine watatawanywa.
NB:
Tunaomba wale wote waliokuwa tayari kufanya kongowe tafadhali wafike ofisini kwetu jumaatatu 24th/November/2014.
Kwa walimu wengine wote waliotayari kufanya kwa Dar Es Salaam n Mikoani wafike ofisini wakiwa wametimiza taratibu zote za usajili na usaili kabla ya 25th/November/2014.
Kwa maelezo zaidi:
0753-810857
Endelea ku-like Facebook page:
[url]WWW.Facebook.com/teachersjunction
[email]teachersjunction@hotmail.com
Ahsanteni.

Post a Comment