Habari Watanzania,Ndugu,Jamaa na Marafiki.
Kwa sasa ajira ziko chini kwa maana msimu shule zinaelekea kwenye mitihani ya mwisho wa mwaka.
Ila kuna kampuni imeomba tuwatafutie vijana wenye sifa zifuatazo:-
• Awe watanzania .
• Umri kuanzia miaka 18+.
• Awe anauwezo wa kujieleza.
• Awe na uwezo wakushawishi watu/wateja.
• Awe anajua kiswahili na kingereza vizuri.
• Elimu form six na kuendelela.
Nafasi chache kwa form four mwenye na uwezo mkubwa kwenye kingereza,Kujieleza na mchangamfu.
Kazi/Majukumu:-
• Kutembelea makapuni yanayojitangaza
• Kusimamia matangazo
• Kuutagaza gazeti
• Kuuza nafasi kwenye magazeti
• Kuuza nafasi kwenye Business Directory.
Malipo ni kwa commission na basic salary.
Mafunzo kwa ajili ya kazi ni bureeeeee
Kama uko tayari au kuna kijanaunamfahamu yuko free na unaamini anaweza.
Tafadhali tupigie tuweze kumuunganisha.
Interview ya oral na sales skills itafanyika hapa hapa TEACHERS’ JUNCTION.
Please unatakiwa kuandaa cv na copy za vyeti.
Nb:
This deal isn’t teachers’ junction issue we are giving support kwa watanzania wenzetu ambao wako mtaani na hawana network baada ya kupata hiyo chance.
For more information please contact us on +255-783-810857.

Post a Comment