Teachers’ Junction
(Teachers Networking Centre in Tanzania)
Tunaamini kuwa wote ni wazima wa afya ,tukiwa kwenye kipindi hiki ambacho kwa upande wa ajira za ualimu zimepungua Fulani ndio maana hata kasi ya kuonekana humu imepungua hata hivyo tuko pamoja Mungu anaendelea kutuongoza.
Hata hivyo kwenye hizi wiki mbili za katikati ya mwezi wa kumi ajira zitapanda kidogo na mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja zitashuka hii husababishwa na baadhi ya walimu kwenda masomoni.
Hivyo kwa sasa tuna mahitajio ya walimu wafuatao:-

1. Physics
• Sifa/qualifications:-
.Awe na diploma au graduate
.Awe mkristo/Christian
.Awe na uzoefu/experience at least 1year
• Offer:-
Salary not less than 600,000/=Tsh
. lunch and breakfast
NSSF,PPF inclusive
2. English
• Sifa/qualifications:-
.Awe na diploma au graduate
.Awe na uwezo wa kufundisha shule kama JK Nyerere,Hazina,Tusiime etc
.Awe na uwezo kwa shule za English Medium/International school.
• Offer:-
.salary not less than/Mshahara sio chini 500,000/=Tsh
. lunch and breakfast
Schools are located at/Shule ziko magomeni na Temeke Dar es salaam.
3.
.Physics na Business subjects
• Sifa/qualifications:-
.Awe na diploma/Diploma holder
.Awe muislamu/Muslim
.Awe tayari kuishi eneo la shule
• Offer:-
Nyumba/house
Umeme na maji/water &electricity
Salary/mshahara sio chini ya 400,000/=Tsh
School located at/shule iko Chalinze Pwani.
NB:-All orders mentioned above are valid till 13rd/10/2014; Teachers should come two to three days before deadline.
Teachers’ Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Morogoro
Branch:
+255783-810857 (soon)
+255783-810857 (soon)
Facebook
page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Pia
unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate
updates zetu
("Education is for improving the lives of others and for leaving your community and world better than you found it."~ Marian Wright Edelman.)
“Teachers’ junction JOB IN REALITY”
("Education is for improving the lives of others and for leaving your community and world better than you found it."~ Marian Wright Edelman.)
“Teachers’ junction JOB IN REALITY”
Post a Comment