HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.
Habari za
siku chache wa Tanzania na Wa Afrika kwa ujumla.
Teachers’ Junction (Teachers Networking Centre)
Tumekuwa kimnya kwa kipindi kodogo hii ni kutokana na
Shule nyingi kuelekea mwisho wa muhula wa pili wa masomo .
Ingawa kuna baadhi ya shule wanaajiri msimu huu kabla ya
kufunga shule.
Hii inatupekea sisi kuanza kupokea rasmi maombi kwa ajili
ya msimu huu wa mwisho na mwakani 2015.
HIVYO TUNAPOKEA MAOMBA KWA WALIMU WA MASOMO
YOTE KWA LEVEL ZOTE kuanzia mwenye anaweza kufundisha Nursery hadi Advanced
level.
Hata hivyo kwa
sasa tuna mahitajio ya walimu wa masomo ya
Art na Science katika awamu.
Kuanzia Tarehe
04th/11/2014 hadi 09th /11/2014 tutakuwa tunapeleka
walimu wa Science:-
Sifa: Diploma
au Degree
Mshahara:
Diploma not less than 500,000/=
Degree
not less than 600,000/=
Location: Tegeta
na Mbagala Rangi 3 Dar es salaam.
Offer: Chakula
cha Asuhuhi na Mchana
Week inayoanza
Tarehe 10th/11/2014 ni zamu ya masomo ya Art hivyo tutatangza kama
hatutakuwa na walimu wa kutosha kwenye Data Base yetu hivyo ni bora uwahi ili
kujihakikishia nafasi mwaka huu na mapema mwakani 2015.
Hata hvyo
ratiba inaweza kubadillika kuongoeza kama tutapata order nyingine yoyote, pia
unawza kuona hujaitwa kwa post inayokuhusu inaweza kuwa ni shule hiyo hiyo
umewahifanya au uko nje ya vigezo kama dini etc, inagawa utapelekwa nyingine.
Habari Njema
ni hiiiiiiiiiii.
TEACHERS’
JUNCTION (Teachers’ Networking
Centre) Tanzania Tunatarajia kumaliza makubaliano yetu ya mwisho na EDUCATION MANAGEMENT AND CONSULTANCY EAST
AFRICA LIMITED (EMACO) Yenye makao makuu yake nchini Uganda.
Baada ya
makubaliano hayo sasa WALIMU na WENYE TAALUMA nyingine kama wataweza
kufanyakazi Afrika Mashariki kwa maana ya Kenya,Unganda,Rwanda na Burundi.
Ni fursa pekee
kwa wasomi wa Nchini kujiweka ki-mataifa na kujitanua ili kuangalia firsa
kwenye nchi nyingie naamini “TUNAWEZA”.
Utaratibu wa kuyafanya hayo utawekwa wazi soon after.
Unachotakiwa kufanya ni kulike facebook page
yetu na kualiki kila ulienae kwenye account yako awe mwalimu au sio, hii
itamuwezesha hao ulowa-add kupata post yoyote tunayotangza kasha kuona kama
inamuhusu.
Teachers’ Junction Head
office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Morogoro Branch:
+255783-810857 (soon)
Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com
Pia
unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate
updates zetu zoote.
(Education is a better safeguard of liberty
than a standing army.)
“Teachers’
junction JOB IN REALITY”
Post a Comment