Good News kwa walimu woote:
Mwalimu mzoefu anahitajika kuwa mkuu wa shule.
Shule ya primary iko tabata barakuda.
Mkuu wa shule anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
1.Awe mwanaume
2.Awe Mtanzania
3.Awe Diploma au Degree
4.Awe amewahi kuwa mkuu,makamu mkuu au mtaalamu.
5.Awe amewahi kufundisha English medium schools at least 1 year
6.Awe tayari kukaa karibu na shule.
Offers:
1.Nyumba
2.Chakula cha Asubuhi na mchana
3.Salary 1,000,000/= to 800,000/=
4.Awe tayari kuishi karibu na shule.
Nb:
Kazi ni January 2015
Makubaliano yote yanafanyika December 2015.
Kwa walio mikoani tutumie cv na copies za vyeti then tufahamishe.
Kwa maelezo zaidi:
+255753-810857
teachersjunction@hot mail.com
"God will always hold us than any "

Post a Comment