Ũ

Teachers' Junction Teachers' Junction Author
Title:
Author: Teachers' Junction
Rating 5 of 5 Des:
PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, MATHEMATICS, ENGLISH AND KISWAHILI Teachers’ Junction (Teachers Networking Centre) Habari za siku watanza...
PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, MATHEMATICS, ENGLISH AND KISWAHILI
Teachers’ Junction (Teachers Networking Centre)
Habari za siku watanzania kwa sasa tunafanya usajili na usaili wa walimu wa masomo yote kwa mujibu wa mtaala wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa ajili ya january 2015.

Kwa sasa tuna mahitajio ya haraka ya walimu wafuatao kwa mwezi huu wa 12/2014:-
·         Physics
·         Chemistry
·         Biology
·         Mathematics
·         English
·         Civics
·         Social study.

Location:-
Ø  Kongowe mbagala
Ø  Mbagala rangi tatu
Ø  Mbezi kimara makabe
Ø  Bagamoyo
Ø  Bagamoyo
Ø  Tegeta Afrikana
Ø  Mbezi beach
Nb: Walimu wenye taaluma hiyo wanapewa nafasi ya kwanza,interview zinafanyika mwezi huu December, 2014 na kazi ni katikati ya December na Mwanzoni mwa Mwezi January 2015.
Kwa maelezo zaidi:-

Teachers’ Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
               
Morogoro Branch:          
+255783-810857 (soon)

Facebook page: www.facebook.com/teachers’junction
Blog: www.teacherjunction.blogspot.com
Email: teachersjunction@hotmail.com

Pia unaweza ku-like page yetu ya facebook na kumualika kila ambaye ungepanda apate updates zetu zoote.
(The future belongs to you, But it can only belong to you if you participate and take charge )

“Teachers’ junction JOB IN REALITY”

About Author

Advertisement

Post a Comment

MOST READ

 
Top